Shukrani kwa nia yako ya kujiunga na vuguvugu la kiharakati la Africans Rising. Tunafurahia kuijenga kwa pamoja Afrika Tunayotaka. Africans Rising inakaribisha uanachama kutoka kwa watu binafsi, pamoja na mashirika, lichague tu pendeleo lako kutoka kwa chaguo la "Jisajili kama" hapa chini ili upate kuijaza fomu ipasavyo.**Kufikia tarehe 01 Novemba 2022, fomu hii ni sehemu ya hifadhidata mpya na tovuti ya wanachama wa vugu vugu, ikiwa ungependa kujiunga na Africans Rising, basi ni lazima uijaze fomu hii. **** Ikiwa wewe ni mwanachama wa Africans Rising aliyesajiliwa kabla ya tarehe 01 Novemba 2022, basi ni lazima uijaze upya fomu hii.**Ukitatizika kwa njia yoyote katika kuijaza fomu hii, basi tafadhali tuma barua pepe kwa members@africans-rising.org.